*Habari na Matukio mbalimbali kuhusu Maendeleo ya Zanzibar
*Shiriki Kutoa maoni kwenye ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2030
*Shiriki Mashindano mbalimbali kwenye Balozi wa Mwinyi kwa kusambaza na kupenda taarifa za matukio ya Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi
*Mjue Rais wa Zanzibar kwa kusikiliza wasifu wake, ziara, Hotuba mbalimbali za matukio ya kila siku
*Kuwa wa kwanza kutuma taarifa za maendeleo kwenye eneo lako uoneshe namna serikali ya Zanzibar inavyoleta maendeleo kwa wananchi wake.