SAMIA App

10 Tsg.+
Downloads
Altersfreigabe
PEGI 3
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot

Über diese App

ni program tumizi inayomsaidia mwananchi wa Tanzania pamoja na Waliopo nje ya Nchi kupata habari na matukio mbalimbali yanayohusu Nchi yake pamoja na Rais wake wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia programu tumizi hii mwananchi atapata fursa ya kushiriki kwenye maudhui mbalimbali pamoja na matukio yanayoendelea kwenye taifa letu la Tanzania.

Aidha kupitia Samia App kuna Moduli mbalimbali zikiwemo Habari na Matukio, Simulizi, Balozi wa Samia, Samia Jamii, Samia Room, Wasifu wa Samia, Makala, Maoni, Shiriki Kwenye Ilani, Kero ambapo kupitia Samia App mwananchi atakuwa na uwezo wa Kutuma na Kufatilia Kero yake kupitia Simu yake ya Kiganjani.
Aktualisiert am
11.07.2025

Datensicherheit

Was die Sicherheit angeht, solltest du als Erstes verstehen, wie Entwickler deine Daten erheben und weitergeben. Die Datenschutz- und Sicherheitspraktiken können je nach deiner Verwendung, deiner Region und deinem Alter variieren. Diese Informationen wurden vom Entwickler zur Verfügung gestellt und können jederzeit von ihm geändert werden.
Keine Daten werden mit Drittunternehmen oder -organisationen geteilt
Diese App kann die folgenden Datentypen erheben
Personenbezogene Daten, Fotos und Videos und Dateien und Dokumente
Daten werden bei der Übertragung verschlüsselt
Du kannst das Löschen der Daten beantragen

Neuerungen

*Habari na Matukio mbalimbali kuhusu Maendeleo ya Tanzania
*Shiriki Kutoa maoni kwenye ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2030
*Shiriki Mashindano mbalimbali kwenye Balozi wa Samia kwa kusambaza na kulike taarifa za matukio ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan
*Mjue Samia kwa kusikiliza wasifu wake, ziara, Hotuba mbalimbali za matukio ya kila siku
*Kuwa wa kwanza kutuma taarifa za maendeleo kwenye eneo lako uoneshe namna serikali ya awamu ya Sita inavyoleta maendeleo kwa wananchi wake.

Support für diese App

Telefonnummer
+255679260154
Informationen zum Entwickler
ZAKAYO ALISHI KISHIWA
Tanzania
undefined