Karibu Mwinyi App programu ya simu janja yenye taarifa muhimu kuhusu maendeleo na fursa mbalimbali ya Zanzibar.
Programu hii inamsaidia mwananchi wa Zanzibar pamoja na watu waliopo nje ya nchi mfano. Diaspora kupata Habari na matukio mbalimbali yanayohusu nchi yake pamoja na Rais Dr. Hussein Ali Mwinyi. Vilevile kupitia program tumizi ya Mwinyi App mwananchi atapata fursa ya kushiriki kwenye maudhui mbalimbali Pamoja na matukio yanayoendelea nchini.
Mwinyi App imebeba module mbalimbali na kila moduli imebeba dhumuni lake, Module hizo ni Habari na Matukioa, Wasifu wa Mwinyi, Mwinyi Balozi, Ilani, Survey/Maoni, Mwinyi jamii, Mwinyi Room vile vile utapata kusikiliza na kutazama masimulizi mbalimbali, Makala, Ziara za Dr. Mwinyi ndani na nje ya Nchi Pamoja na Hotuba.
Ažurirano dana
11. jul 2025.