Nenda kwenye maudhui
Google Michezo ya Google Play BETA
Mwanzo wa maudhui makuu.

Michezo ya Google Play kwenye vifaa vyako

Cheza michezo ya kompyuta na ya vifaa vya mkononi inayopatikana kwenye iOS na Android ukitumia Michezo ya Google Play beta. Geuza ununuzi wako uwe manufaa. Kila ununuzi kwenye kompyuta hukupatia Pointi za Google Play. Pata maelezo zaidi kuhusu Pointi za Google Play hapa.
Sogeza ili upate maelezo zadi
  • Skrini kubwa na udhibiti wa ziada
  • Usawazishaji rahisi kwenye vifaa1
  • Hali rasmi ya utumiaji kwenye Google

Pata mchezo unaokuvutia unaofuata kutoka kwenye orodha kubwa zaidi ya michezo kwenye kompyuta

Pata michezo iliyoboreshwa ili ichezwe kwenye kompyuta pamoja na matoleo bora zaidi ya maelfu ya michezo yanayopatikana katika iOS na Android2

  • Adorable Home

  • AFK Arena

  • Age of Apes

  • 1945 Air Force: Airplane Games

  • Among Gods! RPG Adventure

  • Arknights

  • Asphalt Legends - Racing Game

  • Awaken: Chaos Era

  • Basketrio:Allstar Streetball

  • Blade Idle

  • Botworld Adventure

  • Braveland Heroes

  • Matofali kuvunja Quest

  • Bubble CoCo : Bubble Shooter

  • Cafe Panic: Cooking games

  • 叫我萬歲爺

  • Call of Dragons

  • CookieRun: Kingdom

  • CookieRun: OvenBreak

  • Day R Survival: Last Survivor

  • Dragon Mania Legends

  • Dragonscapes Adventure

  • Drift Max Pro Car Racing Game

  • Dungeon Knight

  • eFootball™  CHAMPION SQUADS

  • Empire Takeover

  • Eversoul

  • Evony: The King's Return

  • Game of Sultans

  • Gardenscapes

  • Genshin Impact

  • Golf King - World Tour

  • Grimvalor

  • Hades' Star

  • Homescapes

  • Horizon Chase – Arcade Racing

  • Hungry Shark Evolution

  • Hustle Castle: Mobile Kingdom

  • Idle Heroes - 9th Anniversary

  • Idle Mafia - Tycoon Manager

  • KPop Idol Queens Production

  • Island War

  • Jumo Clicker! - Pancake Tycoon

  • Just Dance Now

  • KidloLand Toddler & Kids Games

  • King's Throne: Royal Delights

  • Last Fortress: Underground

  • Last Shelter: Survival

  • Left to Survive: Zombie Games

  • Lords Mobile: Kingdom Wars

  • Luna Re : Dimensional Watcher

  • Magic Jigsaw Puzzles-Games HD

  • Magic Rampage

  • Masha and the Bear Pizza Maker

  • Merge Fables®

  • 기적의 검

  • Mobile Legends: Bang Bang

  • OTR - Offroad Car Driving Game

  • Open House: Match 3 puzzles

  • Pixel Starships™

  • Pirates of the Caribbean: ToW

  • Religion inc. Gud Simulator

  • Rise of Castles: Ice and Fire

  • Rise of Kingdoms: Lost Crusade

  • Ronin: The Last Samurai

  • Ski Resort: Idle Tycoon & Snow

  • Space shooter - Galaxy attack

  • Star Chef 2: Restaurant Game

  • State of Survival: Zombie War

  • Summoners War X TEKKEN 8

  • Summoners War: Chronicles

  • Ten Crush

  • Township

  • Top Eleven Be Football Manager

  • Top War: Battle Game

  • Tower Conquest: Tower Defense

  • Tower Defense: Towerlands (TD)

  • Turnip Boy Commits Tax Evasion

  • Undersea Solitaire Tripeaks

  • Valor Legends: Idle RPG

  • Marble Shooter: Viola's Quest

  • War Alliance - PvP Royale

  • War and Magic: Kingdom Reborn

  • War and Peace: Civil War

  • War Planet Online: MMO Game

  • Wild Castle: Tower Defense TD

  • Worms Zone .io - Njaa nyoka

  • WWE SuperCard - Wrestling Game

  • Zen Koi 2

  • Zombeast: FPS Zombie Shooter

Pata zawadi unapocheza

Pata zawadi unaponunua kupitia kompyuta yako ukitumia mpango wa Google Play Points. Pata pointi unaponunua kwenye kompyuta katika Michezo ya Google Play, ikiwa ni pamoja na vipengee vilivyo ndani ya programu, michezo inayolipiwa na usajili. Tumia pointi zako kwa urahisi ili upate manufaa na vipengee vya ndani ya mchezo kwenye kompyuta, kama unavyotumia katika simu.3

Jiunge na mpango wa Google Play Points hapa.

Linda uchezaji wako ukitumia Google

Cheza na ulipe bila wasiwasi ukilindwa na Google. Huwa tunafanya ukaguzi wa usalama katika michezo yote ili kusaidia kudumisha usalama wa vifaa vyako na, iwapo unahitaji, pata usaidizi wa kurejeshewa pesa za ununuzi.

Endelea kutoka ulikoachia - wakati na mahali popote

Sawazisha hatua unazopiga kwenye vifaa vyote kwa kuingia mara moja katika Akaunti yako ya Google au akaunti ya mchezo.

Badilisha kwa urahisi kati ya kucheza kwenye kompyuta na simu, hivyo kuendelea ulipoachia.1

Cheza michezo yako unavyopenda

Wekea mapendeleo jinsi ungependa kutumia kipanya na kibodi yako. Wekea mapendeleo ni kitufe kipi cha kibodi huanzisha kitendo kipi ndani ya mchezo na uweke vidhibiti vya kibodi katika mchezo wowote wa kifaa cha mkononi.4

Kwa kutumia hali ya kufungua programu zaidi ya mara moja kwa wakati mmoja, unaweza kucheza michezo mingi au mchezo ule ule ukitumia akaunti tofauti.1

Furahia mchezo hata zaidi

Chezea karibu ukitumia skrini kubwa na picha zilizoboreshwa.

Masharti ya msingi

  • OS : Windows 10 (v2004)
  • Hifadhi: Diski Pepe (SSD) yenye GB 10 za nafasi ya kuhifadhi inayoweza kutumika
  • Picha: Toleo la kichakataji cha picha cha IntelⓇ UHD Graphics 630 au inayolingana
  • Kichakataji: Viini halisi 4 vya CPU
  • Kumbukumbu: GB 8 za RAM
  • Akaunti ya msimamizi ya Windows
  • Lazima uwashe kipengele cha toleo pepe la maunzi

Ili upate maelezo zaidi kuhusu masharti haya, tembelea Kituo cha Usaidizi.

Intel ni chapa ya biashara iliyosajiliwa ya Intel Corporation au kampuni zake tanzu. Windows ni chapa ya biashara ya kundi la kampuni za Microsoft.

Maswali yanayoulizwa sana

Michezo ya Google Play ni programu ya kompyuta inayokuruhusu uvinjari, upakue na ucheze michezo ya vifaa vya mkononi kwenye kompyuta ya mezani au kompyuta ya kupakata ya Windows. Kando na kufurahia michezo unayopenda ya Android kwenye kompyuta, unaweza kutumia kibodi na kipanya, kucheza michezo unayopenda kwa wakati mmoja, kusawazisha kwa urahisi katika vifaa3 pamoja na ujumuishaji na mpango wa Google Play Points.

Pakua toleo la Beta kwenye kompyuta yako halafu ufungue faili ya .exe. Kisha ufuate tu maagizo yaliyo kwenye skrini. Ili upate maelezo zaidi, soma makala yetu ya Kituo cha Usaidizi.

Michezo ya Google Play beta inapatikana katika zaidi ya maeneo 130.

Mtumiaji yeyote katika maeneo haya aliye na akaunti inayotimiza masharti anaweza kupakua toleo la beta.

Ili ushiriki katika beta, PC yako lazima itimize masharti haya ya msingi:

  • Windows 10 (v2004)
  • Diski Pepe (SSD) yenye GB 10 za nafasi ya kuhifadhi inayoweza kutumika
  • Toleo la kichakataji cha picha cha IntelⓇ UHD Graphics 630 au inayolingana
  • Viini halisi 4 vya CPU
  • GB 8 za RAM
  • Akaunti ya msimamizi ya Windows
  • Lazima uwashe kipengele cha toleo pepe la maunzi

Hapana, ikiwa kompyuta yako inatumia kichakataji cha AMD, una ufikiaji wa michezo yote bora sawa na kompyuta zinazotumia vichakataji vya Intel.

Idadi kubwa ya vidhibiti vinatumika, ikiwa ni pamoja na Sony PlayStation, MS Xbox na baadhi ya vidhibiti vya washirika wengine.

Programu ya vifaa vya mkononi ya Michezo ya Google Play kimsingi inalenga hali ya kucheza michezo inayofunguka papo hapo ambapo unaweza kucheza michezo ya kawaida moja kwa moja. Kuanzia sasa, “Michezo ya Google Play” itarejelea hali ya utumiaji wa kompyuta ambako unaweza kufurahia michezo unayopenda ya vifaa vya mkononi kwenye kompyuta na michezo mingi iliyoboreshwa ili ichezwe katika kompyuta.

Kwa sasa, zaidi ya michezo 200,000 inapatikana kwenye maeneo yote yaliyo na toleo la beta. Tunaweka michezo mara kwa mara, hivyo angalia tena mara kwa mara ili uone michezo mipya.Gundua michezo

Michezo ya Google Play ni programu ya ndani ya Windows na haitumii nafasi yoyote ya hifadhi kwenye vifaa vingine, ikiwa ni pamoja na simu za mkononi.

Jiunge ili uipate

Jaribu Toleo la beta la Michezo ya Google Play. Unahitaji tu PC inayotimiza masharti.